What comedian. He is no comedian. He is a joke. That is a more accurate word.
Azali mobali zoba moko. Ayebi bomoyi te. Kasi toyebi yango wana. Azali comedien te. Azali pona bolema na bolema mingi. Nayebi. Afingaki batu bantango mingi.
Kaisari, I get you though. He can be funny but usually he is not. Kwanini anayo hasira sana dhidi ya watu wengi? Swali wangu kwa jamani.
...FPPK sio hasira maoni yetu ndio tofauti na yangu ni machache; mgema akisifiwa tembo ulitia maji.
Kaisari, unajua maisha hivi. Mimi mutu vijana sana. Ndio Sankara ni mutu mzima. Anaweza kusema anataka kusema. Lakini anajua kwamba wengine kama mwenyewe tutaona tatizo kwa maneno yake. Kaisari, Sankara anahitaji maji kwa mwenyewe. Maji itakuwa mazuri kwa yake.
Kaisari, Nasema hivi. Sichuki Sankara lakini nachuki wakati anasema mambo mbaya kuhusu familia wa mwanamuziki moja kama Deplick.